Polisi katika mji wa Dar nchini Tanzania wamefyatua risasi na vitoa machozi siku ya Alhamisi kutawanya waandamanaji waliorejea barabarani siku moja baada ya uchaguzi. Na Waandishi wa BBC Maandamano ...
Polisi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania wamewafyatulia risasi na mabomu ya machozi waandamanaji waliorejea barabarani Alhamisi katika siku ya pili ya maandamano. Baadhi ya maeneo ya mji huo ...
Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Japan siku ya Jumatatu katika siku ya pili ya ziara yake barani Asia. Trump anatarajiwa siku ya Jumanne kukutana na Waziri Mkuu wa wa Japan Sanae Takaichi ...
Kutoka kwa mwandishi wetu huko Jerusalemu, Sio miili yote ya mateka waliokufa imerejeshwa. Kumi na mitatu imesalia katika eneo la Palestina la Ukanda wa Gaza, na hali hiyo inatishia makubaliano ya ...
WATAALAMU wa afya wameihadharisha jamii kuhusu matumizi holela ya dawa za maumivu, ambayo mara nyingi watu huamua kujinunulia katika maduka ya dawa. Dawa hizo ni maalumu kwa ajili ya kutuliza maumivu ...
MSHTAKIWA Abdallah Chande aliyeomba nafuu mahakamani akidai amekuwa msaada mkubwa, akitaja majina ya wafanyabiashara wakubwa wa dawa za kulevya Kigamboni na Afrika Kusini, amehukumiwa kifungo cha ...
Utafiti umeonyesha kuwa kutabasamu huongeza homoni zinazoboresha hisia na kupunguza homoni za mafadhaiko kama vile cortisol na adrenaline. Baadhi, hata hivyo, ni waangalifu zaidi kuliko wengi ...
Energy Secretary Chris Wright said he would promote natural gas during his upcoming trip to Europe. Energy Secretary Chris Wright called an international agreement to cut planet-warming emissions ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO limefanya mabadiliko muhimu katika orodha yake ya dawa muhimu duniani au Essential Medicines List – EML na orodha ya dawa muhimu kwa watoto (EMLc) ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO limefanya mabadiliko muhimu katika orodha yake ya dawa muhimu duniani au Essential Medicines List – EML na orodha ya dawa muhimu kwa watoto (EMLc) ...
Prime Minister Narendra Modi, in his 124th Mann ki Baat episode, highlighted India's achievements in science and culture. He mentioned astronaut Sudhanshu Shukla's return from the International Space ...