NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo, amewataka wananchi ambao hawajapata vitambulisho vya uraia wakavichukue sehemu ...
Mtume Boniface Mwamposa 'Buldoza' wa Kanisa la Inuka Uangaze amempongeza mfanyabiashara Said Lugumi kwa kujenga maghorofa matano kwa ajili ya watoto yatima. M“Ninampongeza Lugumi, ni jambo jema lenye ...
MWANAMKE mmoja ambaye jina lake halikutambuliwa mara moja, anayedhaniwa kuwa na umri kati ya miaka 20 hadi 25, amefariki ...
MAKAMU Mkuu wa Askofu wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM), Dk. Philemon Langasi, amewapa angalizo Watanzania ...
“SISI wenyewe hatuko salama lakini ndiyo kazi yetu”. Ni sauti ya Samson Makuri, msaidizi wa Chacha Marwa watapisha vyoo ...
CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimevitaka vyombo vya dola kutofautisha kati ya majibizano ya kisiasa na makosa ya kijinai ili kutenda haki kwa watuhumiwa. Rais wa Chama hicho, Wakili Boniface ...
WALIMU 201,707 wanatarajiwa kufanyiwa usaili kuanzia Januari 14 hadi Februari 24, mwaka huu, kwa ajili ya kujaza nafasi ...
BAADA ya maandamano ya waendesha bodaboda na bajaji mkoani Kigoma kutikisa huku wengi wao wakitiwa mikononi mwa polisi, Mkuu ...
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali imetenga zaidi ya Sh. bilioni 114 kukarabati barabara za mikoa ya ...
NI wiki ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Hii ni kwa sababu ni wiki ya kupata viongozi waandamizi wa chama ...
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema serikali imetenga zaidi ya Sh. bilioni 114 kukarabati barabara za mikoa ya Kusini ...
OFISA Nishati Mkuu kutoka Wizara ya Nishati, Mussa Abbas, zaidi ya watu 33,000 hufariki kila mwaka nchini kwasababu ya ...