Timu ya Kilimanjaro FF inayomilikiwa na kuendeshwa na Watanzania waishio nchini Sweden imeshika nafasi ya tatu katika ligi ya daraja la sita kwenye jiji la Stockholm katika msimu wa 2024/25 ...
Istanbul itakuwa mwenyeji wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi nane zenye Waislamu wengi Jumatatu, Novemba 3, kujadili hali ya Gaza. Nchi hizo ni Falme za Kiarabu, Qatar, Jordan, Pakistan, ...
Polisi katika mji wa Dar nchini Tanzania wamefyatua risasi na vitoa machozi siku ya Alhamisi kutawanya waandamanaji waliorejea barabarani siku moja baada ya uchaguzi. Na Waandishi wa BBC Maandamano ...
Polisi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania wamewafyatulia risasi na mabomu ya machozi waandamanaji waliorejea barabarani Alhamisi katika siku ya pili ya maandamano. Baadhi ya maeneo ya mji huo ...
“Tulieni, rekodi ya dunia inakuja.” Huo ndio ulikuwa ujumbe wa mwanariadha anayeshikilia rekodi ya dunia ya mbio za kilomita 10, Agnes Ng’etich, kwa Wakenya baada ya kukosa kuvunja rekodi ya dunia ya ...
Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Japan siku ya Jumatatu katika siku ya pili ya ziara yake barani Asia. Trump anatarajiwa siku ya Jumanne kukutana na Waziri Mkuu wa wa Japan Sanae Takaichi ...
Kutoka kwa mwandishi wetu huko Jerusalemu, Sio miili yote ya mateka waliokufa imerejeshwa. Kumi na mitatu imesalia katika eneo la Palestina la Ukanda wa Gaza, na hali hiyo inatishia makubaliano ya ...
YANGA jioni ya leo Jumamosi inashuka Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kurudiana na Silver Strikers ya Malawi katika mechi ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika mechi ya kwanza ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results